To read in English CLICK HERE.

 • Hapa ndipo malipo yanafanyika kabla ya kuweka oda. Tambua: Hutaweza kukamilisha oda yako bila kukamilisha malipo kwanza.
 • Tafadhali hakikisha umechagua bidhaa unayoihitaji, idadi, vigezo na mahali itakapotumwa kwa usahihi hapo chini kabla ya kufanya malipo.
 • Gusa kitufe kinachosomeka HOW TO PAY ili kusoma maelekezo ya jinsi ya kulipa.
 • Kama unaona maneno ‘Your cart is currently empty’ hapo chini inamaanisha hujachagua bidhaa yeyote kuilipia, tafadhali rudi nyuma na uchague bidhaa unayoihitaji upya.
 • Baada ya kukamilisha malipo hapo chini tafadhali bofya kitufe kinachosomeka “PLACE YOUR ORDER” mwishoni wa ukurasa huu ili kuingia hatua ya mwisho.

To read in English CLICK HERE.

 • Kwa kutumia njia mbalimbali za malipo kama M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Benki ya CRDB, Huduma za Western Union, MasterCard, Visa au PayPal tafadhali sogea chini kupata maelekezo.
 • Gusa maneno JINSI YA KULIPA KWA…. kusoma vidokezo vya muhimu.
 • Gusa picha ya malipo husika, mf. picha ya M-Pesa na ufuate hatua zitakazoonekana kwa umakini kukamilisha malipo.
 • Baada ya kukamilisha malipo hapo chini tafadhali bofya kitufe kinachosomeka “PLACE YOUR ORDER” mwishoni wa ukurasa huu ili kuingia hatua ya mwisho.

Hujachagua bidhaa ya kuilipia, tafadhali rudi nyuma kuchagua bidhaa kwanza.

Bofya hapa kurudi kuchagua bidhaa

 1. Hakikisha umechagua bidhaa unayoihitaji, idadi, vigezo na mahali itakapotumwa kwa usahihi hapo juu.
 2. Bofya kitufe kinachosomeka UPDATE TOTALS hapo juu.
 3. Gusa picha ya M-Pesa hapo chini na kusoma maelekezo ya jinsi ya kulipa kwa simu.
 4. Baada ya kupokea meseji ya kuthibitisha malipo kutoka M-Pesa, bofya kitufe kinachosomeka WEKA ODA YAKO hapo chini mwishoni mwa ukurasa huu au BOFYA HAPA ili kujaza taarifa za bili yako.

MUHIMU! Tafadhali USIFUTE meseji ya uthibitisho wa malipo uliyopokea kutoka M-Pesa kwasababu itahitajika wakati wa kuweka oda.

For English Menu CLICK HERE.

 1. Piga *150*00#
 2. Chagua (1) Tuma pesa.
 3. Chagua (4) Kwenda Bank.
 4. Chagua (1) CRDB
 5. Chagua (1) Weka namba ya akaunti
 6. Ingiza namba ya malipo 0152415013100
 7. Ingiza kiasi cha fedha sawa jumla uliyotumia (TOTAL).
 8. Andika namba yako ya siri kisha 1 kuthibitisha malipo.

Baada ya kupokea meseji ya uthibitisho wa malipo kutoka M-Pesa, tafadhali bofya kutufe kinachosomeka WEKA ODA YAKO hapo chini ili kuendelea. Kumbuka, USIFUTE meseji ya M-Pesa kwani itahitajika kwenye hatua inayofuata.

 1. Hakikisha umechagua bidhaa unayoihitaji, idadi, vigezo na mahali itakapotumwa kwa usahihi hapo juu.
 2. Bofya kitufe kinachosomeka UPDATE TOTALS hapo juu.
 3. Gusa picha ya Tigo Pesa hapo chini na kusoma maelekezo ya jinsi ya kulipa kwa simu.
 4. Baada ya kupokea meseji ya kuthibitisha malipo kutoka Tigo Pesa, bofya kitufe kinachosomeka WEKA ODA YAKO hapo chini mwishoni mwa ukurasa huu au BOFYA HAPA ili kujaza taarifa za bili yako.

MUHIMU! Tafadhali USIFUTE meseji ya uthibitisho wa malipo uliyopokea kutoka Tigo Pesa kwasababu itahitajika wakati wa kuweka oda.

For English Menu CLICK HERE.

 1. Piga *150*01#
 2. Chagua (7) Huduma za kifedha
 3. Chagua (1) Tigo pesa kwenda Benki
 4. Chagua (1) CRDB
 5. Chagua (1) Namba ya kumbukumbu
 6. Weka namba ya malipo 0152415013100
 7. Ingiza kiasi cha fedha sawa jumla uliyotumia (TOTAL).
 8. Andika namba yako ya siri kuthibitisha malipo.

Baada ya kupokea meseji ya uthibitisho wa malipo kutoka Tigo Pesa, tafadhali bofya kutufe kinachosomeka WEKA ODA YAKO hapo chini ili kuendelea. Kumbuka, USIFUTE meseji ya Tigo Pesa kwani itahitajika kwenye hatua inayofuata.

 1. Hakikisha umechagua bidhaa unayoihitaji, idadi, vigezo na mahali itakapotumwa kwa usahihi hapo juu.
 2. Bofya kitufe kinachosomeka UPDATE TOTALS hapo juu.
 3. Gusa picha ya Airtel Money hapo chini na kusoma maelekezo ya jinsi ya kulipa kwa simu.
 4. Baada ya kupokea meseji ya kuthibitisha malipo kutoka Airtel Money, bofya kitufe kinachosomeka WEKA ODA YAKO hapo chini mwishoni mwa ukurasa huu au BOFYA HAPA ili kujaza taarifa za bili yako.

MUHIMU! Tafadhali USIFUTE meseji ya uthibitisho wa malipo uliyopokea kutoka Airtel Money kwasababu itahitajika wakati wa kuweka oda.

For English Menu CLICK HERE.

 1. Piga *150*60#
 2.  Chagua (1) Tuma pesa
 3.  Chagua (3) Tuma kwenda Benki
 4.  Chagua (2) CDRB Bank
 5.  Ingiza namba ya akaunti 0152415013100
 6. Ingiza kiasi cha fedha sawa jumla uliyotumia (TOTAL).
 7.  Andika namba yako ya siri

Baada ya kupokea meseji ya uthibitisho wa malipo kutoka Airtel Money, tafadhali bofya kutufe kinachosomeka WEKA ODA YAKO hapo chini ili kuendelea. Kumbuka, USIFUTE meseji ya Airtel Money kwani itahitajika kwenye hatua inayofuata.

 1. Hakikisha umechagua bidhaa unayoihitaji, idadi, vigezo na mahali itakapotumwa kwa usahihi hapo juu.
 2. Bofya kitufe kinachosomeka UPDATE TOTALS hapo juu.
 3. Gusa picha ya CRDB Bank hapo chini na kusoma maelekezo ya jinsi ya kulipa.
 4. Baada ya kukamilisha malipo tafadhali bofya kitufe kinachosomeka WEKA ODA YAKO hapo chini mwishoni mwa ukurasa huu au BOFYA HAPA ili kujaza taarifa za bili yako.

MUHUMU! Usipoteze risiti yako kutoka ya benki kwani itahitajika katika hatua inayofuata.

 • Tembelea tawi lolote au ajenti wa benki ya CRDB karibu nawe uweke kiasi sawa na TOTAL kama inavyoonekana hapo juu kwenye CART TOTALS.
 • Taarifa za akaunti yetu ni:
  • JINA LA BENKI: BENKI YA CRDB 
  • NAMBA YA AKAUNTI: 0152415013100
  • JINA LA AKAUNTI: MOSES MICHAEL
  • AINA YA FEDHA: SHILINGI YA TANZANIA (TSH)

KUMBUKA! Usipoteze risiti ya benki kwani itahitajika kwenye kuweka taarifa zako za bili.

 1. Hakikisha umechagua bidhaa unayoihitaji, idadi, vigezo na mahali itakapotumwa kwa usahihi hapo juu.
 2. Bofya kitufe kinachosomeka UPDATE TOTALS hapo juu.
 3. Gusa picha ya Western Union hapo chini na kusoma maelekezo ya jinsi ya kulipa.
 4. Baada ya kukamilisha malipo kupitia Western Union tafadhali bofya kitufe kinachosomeka WEKA ODA YAKO hapo chini mwishoni mwa ukurasa huu au BOFYA HAPA ili kujaza taarifa za bili yako.

MUHIMU! Usipoteze risiti ya Western Union kwani itahitajika kwenye kuweka taarifa zako za bili.


 • Tembelea tawi au ajenti wa Western Union karibu nawe utume kiasi sawa na TOTAL kama inavyoonekana hapo juu kwenye CART TOTALS.
 • Taarifa za akaunti:
  • MAHALI: 211106 NANJING, CHINA.
  • JINA LA MPOKEAJI: MOSES MICHAEL MEITIVYEKI
  • AINA YA FEDHA YA KUPOKELEWA: CHINESE YUAN (CNY)
 • Kumbuka, Gharama za kutuma fedha ni juu ya mteja.

MUHIMU! Usipoteze risiti ya Western Union kwani itahitajika kwenye kuweka taarifa zako za bili.

Je, umekamilisha malipo hapo juu? Bofya kitufe cha WEKA ODA YAKO hapo chini. Bado kidogo kukamilisha!
Customer careMy WishListMy account