OFA ZA MAUZO YA JUMLA
Pata huduma bora za jumla kutoka China hadi Tanzania
ULIZIA BIDHAA ULIZOKOSA
Unaweza kuagiza hata bidhaa ulizokosa kwenye tovuti yetu
PATA BEI ZA BIDHAA ZETU
Jipatie bei mpya za bidhaa zilizopo kwenye tuvuti hii
BIDHAA ULIZOKOSA
Je umekosa bidhaa uliyohitaji kwenye tovuti hii?
Jaza taarifa zako kwa usahihi
Timu yetu itashughulikia

TAARIFA ZA BIDHAA UNAYOHITAJI


Tuma picha ya mfano, bofya 'Choose file' (Sio lazima)TAARIFA BINAFSI AU KAMPUNI


Je tayari umejiandaa kifedha?* (Chagua kwa usahihi)

BIDHAA ZA JUMLA
Je unahitaji kuagiza bidhaa nyingi?
Jaza taarifa zako kwa usahihi
Timu yetu itashughulikia

TAARIFA ZA BIDHAA UNAZOHITAJI


Je unahitaji bidhaa ngapi?* (Chagua hapa chini)

Tuma picha ya mfano, bofya 'Choose file' (Sio lazima)TAARIFA ZA BIASHARA AU OFISI YAKO


Je tayari umejiandaa kifedha?* (Chagua kwa usahihi)

Upload a clear photo of your National Identity Card or Vorter's Identity Card

Upload your Photo (Must be clear and official presented)

BEI ZA BIDHAA ZILIZOPO

MASWALI TUULIZWAYO sana
 1. Tafuta bidhaa unayoihitaji kwa kuperuzi, kuchuja au kwa kuandika neno husika kwenye boksi la kutafuta.
 2. Bofya kwenye bidhaa husika ili kusoma maelezo yake, kutazama picha zake na taarifa za ziada.
 3. Chagua vigezo vya bidhaa yako kama vipo, mfano rangi na ukubwa.
 4. Bofya kitufe cha ADD TO CART (WEKA KAPUNI).
 5. Baada ya kufanikiwa kuweka bidhaa yako kwenye kapu la manunuzi unaweza kuendelea kuongeza bidhaa zako kwenye kapu kwa kurudia hatua 1-4.
 6. Bofya kitufe cha CHECKOUT.
 7. Jaza taaarifa zako za bili na makazi.
 8. Chagua njia unayotaka kutumia kulipia, mfano M-Pesa.
 9. Kubaliana na masharti ya huduma (Terms of Service).
 10. Bofya kitufe cha PLACE ORDER.
 11. Kutegemeana na njia ya malipo uliyoichagua, lipa kwa kufuatana na maelekezo utakayoyaona na kupokea baada ya kumaliza hatua ya 10 hapo juu.

Kwa njia utakayochagua mteja, mfano.

 1. Kwenye ofisi za kampuni ya usafirishaji iliyo karibu nawe, mfano DHL.
 2. Moja kwa moja kwenye ofisi zetu Tanzania – Dar Es Salaam, China Plaza.
 3. Inapowezekana Ajenti wetu anakuletea hadi ulipo.

Inategemea na njia ya usafiri utakayochagua, kwa uzoefu:

 1. Kwa usafiri wa anga (ndege) huchukua siku 7 hadi 14.
 2. Usafiri wa maji (meli) huchukua wiki 4 hadi 6.

Zipo njia kadhaa kukidhi mahitaji na mazingira ya wateja wetu kama:

 1. Akaunti ya Paypal, Kadi ya bank au Western Union – Kutoka eneo lolote duniani ( wasiliana na huduma kwa wateja kwa msaada zaidi )
 2. M-pesa, Tigo pesa, Airtel money au Bank ya CRDB – Kwa wateja wa Tanzania tu.
TRACK YOUR ORDER

Kujua oda yako ilipofika tafadhali ingiza namba yako ya oda na barua pepe uliyotumia kuweka oda kisha bofya kutufe cha "Fuatilia". Taarifa hizi zipo kwenye barua pepe uliyopokea baada ya kuweka oda.

This will close in 0 seconds

FUATILIA MZIGO WAKO

Kujua oda yako ilipofika tafadhali ingiza namba yako ya oda na barua pepe uliyotumia kuweka oda kisha bofya kutufe cha "Fuatilia". Taarifa hizi zipo kwenye barua pepe uliyopokea baada ya kuweka oda.

This will close in 0 seconds

Login or Register to get a Discount

 • Sajili
Je umepoteza nywila (neno siri) za akaunti yako? Tafadhali ingiza jina lako la utumizi au barua pepe uliyotumia kujisajili awali. Utapokea ujumbe kwenye barua pepe yako wenye maelezo ya kutengeneza nywila (neno siri) mpya ya akaunti yako.

This will close in 0 seconds

inGIA AU SAJILI KUPATA PUNGUZO

 • Sajili
Je umepoteza nywila (neno siri) za akaunti yako? Tafadhali ingiza jina lako la utumizi au barua pepe uliyotumia kujisajili awali. Utapokea ujumbe kwenye barua pepe yako wenye maelezo ya kutengeneza nywila (neno siri) mpya ya akaunti yako.

This will close in 0 seconds

This will close in 0 seconds

Wishlist 0
Continue Shopping