Weka Oda

To read in English please CLICK HERE.


 • HATUA YA 1: KUCHAGUA BIDHAA – Tafadhali hakikisha umechagua bidhaa unayoihitaji, idadi, vigezo na mahali itakapotumwa kwa usahihi hapo chini kabla ya kufanya malipo. Kama umeongeza bidhaa bofya kitufe cha UPDATE AMOUNT.

 • HATUA YA 2: MALIPO – Kulipia kwa njia mbalimbali za malipo kama M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Benki ya CRDB, Huduma za Western Union, MasterCard, Visa au PayPal tafadhali sogea chini kupata maelekezo. Gusa maneno JINSI YA KULIPA KWA…. kusoma vidokezo vya muhimu. Kumbuka! Malipo lazima yakamilike kwanza kabla oda yako haijatumwa.

 • HATUA YA 3:  KUMBUKUMBU YA MALIPO – Jaza namba yako ya kumbukumbu ya malipo kwenye boksi hapo chini. Kwa maelekezo ya jinsi kupata namba za kumbukumbu ya malipo BOFYA HAPA

 • HATUA YA 4: TAARIFA ZA BILI NA USAFIRI – Baada ya kukamilisha malipo sogea chini zaidi kujaza taarifa zako za bili na usafiri, yaani taarifa za mteja pamoja na mahali bidhaa itakapopelekwa. Kama unahitaji kujua kuhusu usalama na uhifadhi wa taarifa zako (Kwa kiingereza) Bofya hapa.

 • HATUA YA 5: KAMILISHA ODA YAKO – Hii ni hatua ya mwisho na ya muhimu. Bofya kitufe kinachosomeka KAMILISHA ODA YAKO kukamilisha hatua hii. Oda yako itakapo fanikiwa utapokea namba maalumu ya oda pamoja na barua pepe yenye risiti yako ya elektroniki.

 • UNAHITAJI MSAADA ZAIDI? – Kama una WhatsApp kwenye simu yako BOFYA HAPA. Unaweza kutupigia kupitia HIZI NAMBA ZA SIMU au kutuandikia ujumbe HAPA

Hujachagua bidhaa ya kuilipia, tafadhali rudi nyuma kuchagua bidhaa kwanza.

Bofya hapa kurudi kuchagua bidhaa

 1. Hakikisha umechagua bidhaa unayoihitaji, idadi, vigezo na mahali itakapotumwa kwa usahihi.
 2. Gusa picha ya M-Pesa hapo chini na kusoma maelekezo ya jinsi ya kulipa kwa makini.
 3. Lazima kuchagua mahali bidhaa itakapotumwa kabla ya kufanya malipo. Kiasi utakacholipa lazima kiwe sawa na JUMLA KUU (Sio Jumla ndogo) kama inavyoonekana hapo chini kwenye oda yako.

MUHIMU! Tafadhali USIFUTE meseji ya uthibitisho wa malipo uliyopokea kutoka M-Pesa, itahitajika kupata KUMBUKUMBU YA MALIPO.

For English Menu CLICK HERE.

 1. Piga *150*00#
 2. Chagua (1) Tuma pesa.
 3. Chagua (4) Kwenda Bank.
 4. Chagua (1) CRDB
 5. Chagua (1) Weka namba ya akaunti
 6. Ingiza namba ya malipo 0152415013100
 7. Ingiza kiasi cha fedha sawa JUMLA KUU (Sio jumla ndogo) kama inavyoonekana kwenye oda yako hapo chini.
 8. Andika namba yako ya siri kisha 1 kuthibitisha malipo.

MUHIMU! Tafadhali USIFUTE meseji ya uthibitisho wa malipo uliyopokea kutoka M-Pesa, itahitajika kupata KUMBUKUMBU YA MALIPO.

 1. Hakikisha umechagua bidhaa unayoihitaji, idadi, vigezo na mahali itakapotumwa kwa usahihi.
 2. Gusa picha ya Tigo Pesa hapo chini na kusoma maelekezo ya jinsi ya kulipa kwa makini.
 3. Lazima kuchagua mahali bidhaa itakapotumwa kabla ya kufanya malipo. Kiasi utakacholipa lazima kiwe sawa na JUMLA KUU (Sio Jumla ndogo) kama inavyoonekana hapo chini kwenye oda yako.

MUHIMU! Tafadhali USIFUTE meseji ya uthibitisho wa malipo uliyopokea kutoka Tigo Pesa, itahitajika kupata KUMBUKUMBU YA MALIPO.

For English Menu CLICK HERE.

 1. Piga *150*01#
 2. Chagua (7) Huduma za kifedha
 3. Chagua (1) Tigo pesa kwenda Benki
 4. Chagua (1) CRDB
 5. Chagua (1) Namba ya kumbukumbu
 6. Weka namba ya malipo 0152415013100
 7. Ingiza kiasi cha fedha sawa JUMLA KUU (Sio jumla ndogo) kama inavyoonekana kwenye oda yako hapo chini.
 8. Andika namba yako ya siri kuthibitisha malipo.

MUHIMU! Tafadhali USIFUTE meseji ya uthibitisho wa malipo uliyopokea kutoka Tigo Pesa, itahitajika kupata KUMBUKUMBU YA MALIPO.

 1. Hakikisha umechagua bidhaa unayoihitaji, idadi, vigezo na mahali itakapotumwa kwa usahihi.
 2. Gusa picha ya Airtel Money hapo chini na kusoma maelekezo ya jinsi ya kulipa kwa makini.
 3. Lazima kuchagua mahali bidhaa itakapotumwa kabla ya kufanya malipo. Kiasi utakacholipa lazima kiwe sawa na JUMLA KUU (Sio Jumla ndogo) kama inavyoonekana hapo chini kwenye oda yako.

MUHIMU! Tafadhali USIFUTE meseji ya uthibitisho wa malipo uliyopokea kutoka Airtel Money, itahitajika kupata KUMBUKUMBU YA MALIPO.

For English Menu CLICK HERE.

 1. Piga *150*60#
 2.  Chagua (1) Tuma pesa
 3.  Chagua (3) Tuma kwenda Benki
 4.  Chagua (2) CDRB Bank
 5.  Ingiza namba ya akaunti 0152415013100
 6. Ingiza kiasi cha fedha sawa JUMLA KUU (Sio jumla ndogo) kama inavyoonekana kwenye oda yako hapo chini.
 7.  Andika namba yako ya siri.

MUHIMU! Tafadhali USIFUTE meseji ya uthibitisho wa malipo uliyopokea kutoka Airtel Money, itahitajika kupata KUMBUKUMBU YA MALIPO.JINA LA BENKI: BENKI YA CRDB 

NAMBA YA AKAUNTI: 0152415013100

JINA LA AKAUNTI: MARIA MICHAEL MEITIVYEKI

AINA YA FEDHA: SHILINGI YA TANZANIA (TSH)


 1. Hakikisha umechagua bidhaa unayoihitaji, idadi, vigezo na mahali itakapotumwa kwa usahihi.
 2. Gusa picha ya Benki ya CRDB hapo juu kupata taarifa za akaunti ya benki.
 3. Tembelea tawi au wakala yeyote wa benki ya CRDB na kulipa kiasi sawa na JUMLA KUU (Sio Jumla ndogo) kama inavyoonekana hapo chini kwenye oda yako. Ni lazima kuchagua mahali bidhaa itakapotumwa kabla ya kufanya malipo.

MUHUMU! Usipoteze risiti yako kutoka Benki , itahitajika kupata KUMBUKUMBU YA MALIPO.

MAHALI: 211106 NANJING, CHINA.

JINA LA MPOKEAJI: MOSES MICHAEL MEITIVYEKI

FEDHA YA KUPOKELEWA: CHINESE YUAN (CNY)

Kumbuka! Gharama za kutuma fedha ni za mteja.


 1. Hakikisha umechagua bidhaa unayoihitaji, idadi, vigezo na mahali itakapotumwa kwa usahihi.
 2. Gusa picha ya Western Union hapo juu na kupata taarifa za kutuma mpokeaji wa fedha kwa Western Union.
 3. Tembelea tawi au wakala yeyote wa Western Union na kutuma kiasi sawa na JUMLA KUU (Sio Jumla ndogo) kama inavyoonekana hapo chini kwenye oda yako. Ni lazima kuchagua mahali bidhaa itakapotumwa kabla ya kufanya malipo.

MUHUMU! Usipoteze risiti yako kutoka Western Union , itahitajika kupata KUMBUKUMBU YA MALIPO.

To read in English CLICK HERE.


KUMBUKUMBU YA MALIPO YA M-PESA, TIGO PESA AU AIRTEL MONEY.

Kama umetumia M-Pesa, Tigo Pesa au Airtel Money kufanya malipo tafadhali fungua meseji ya uthibitisho wa malipo kwenye simu yako na ili kupata namba ya kumbukumbu ya malipo . Namba hiyo inafanana na mfumo kama huu 6FS02H53DU0. Jaza namba yako ya kumbukumbu ya malipo kwenye kiboksi husika inapohitajika hapo chini kwenye taarifa za oda yako.


KUMBUKUMBU YA MALIPO YA BENKI YA CRDB

Kama umelipa kwa kutumia benki ya CRDB tazama risiti yako eneo lililoandikwa TRANSACTION NO kupata namba ya kumbukumbu ya malipo. Namba hiyo inafanana na mfumo kama huu FB11501554279083. Jaza namba yako ya kumbukumbu ya malipo kwenye kiboksi husika inapohitajika hapo chini kwenye taarifa za oda yako.


KUMBUKUMBU YA MALIPO YA WESTERN UNION

Kama umelipa kwa kutumia huduma za Western Union tazama risiti yako eneo lililoandikwa TRACKING NUMBER (MTCN) kupata namba ya kumbukumbu ya malipo. Namba hiyo inafanana na mfumo kama huu 534-738-9925. Jaza namba yako ya kumbukumbu ya malipo kwenye kiboksi husika inapohitajika hapo chini kwenye taarifa za oda yako.


KUMBUKUMBU YA MALIPO KWA MALIPO YALIYOFANYIKA BAADA YA KUPOKEA BIDHAA

Kama ulifanya malipo kwa kukabidhi fedha kwa mkono kwa Ajenti wetu, lazima amekupatia namba ya kumbukumbu ya malipo.Namba hiyo inafanana na mfumo kama huu M218POD788236. Jaza namba yako ya kumbukumbu ya malipo kwenye kiboksi husika inapohitajika hapo chini kwenye taarifa za oda yako.


BADO HUJAFANIKIWA KUIPATA NAMBA YA KUMBUKUMBU YA MALIPO?

 1. Kama kwa bahati mbaya ulifuta meseji ya uthibitisho wa malipo kutoka M-Pesa, Tigo Pesa au Airtel Money tafadhali wasiliana na mtandao husika wakutumie meseji nyingine. Kama unapata ugumu tafadhali wasiliana nasi.
 2. Kama kwa bahati mbaya umepoteza risiti ya Benki ya CRDB au Western Union tadhadhali wasiliana nao wakupatie nakala nyingine ya taarifa zako za malipo. Kama unapata ugumu tafadhali wasiliana nasi.
 3. Kama umepoteza namba ya kumbukumbu ya malipo uliyopewa na ajenti wetu uliyemlipa wakati wa makabidhiano ya bidhaa tafadhali wasiliana na Ajenti huyo akutumie tena namba hiyo au wasiliana na Huduma kwa wateja.

TAARIFA YA MUHIMU

Kutokana na taratibu za likizo ya kitaifa ya sherehe za nchini China za 'Spring Festival', oda zote zitakazowekwa kuanzia tarehe 18/1/2020 hadi 14/2/2020 zitaanza kusafirishwa kuanzia 15/2/2020. Kwa msaada wasiliana na huduma kwa wateja.

IMPORTANT NOTICE

Due to the National holiday arrangements for the 'Chinese spring festival', all orders placed from 18/1/2020 to 14/2/2020 will be processed from 15/2/2020. For concerns contact customer care.

 

Wishlist 0
Continue Shopping